Thursday, December 12, 2019
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yazidi kung'ara katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Hali ya Hewa (UNFCCC-COP25)
Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) amekuwa katika jopo la wataalamu kujadili athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa jinsia tofauti.
Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi-TMA na 'IPCC-focal point's Dr. Ladislaus Chang'a ameshiriki katika mjadala wa umuhimu wa mawasiliano (communication) ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Maeneo yaliyoathirika zaidi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na ya kutolea mfano ni Asia, Afrika na Visiwa vya Bahari ya Pasifiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
-
10 Septemba 2024, Arusha: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya h...
-
Dar es Salaam, 22 /0 8 /202 4 ; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za VULI 202 4 kwa maeneo yanayopat...
No comments:
Post a Comment