Saturday, August 21, 2021

NMTC NA NIT KUONGEZA USHIRIKIANO WA ELIMU



Dar es Salaam, 19 Agosti, 2021:

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa (NMTC), Ndg. Peter Mlonganile pamoja na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa wamesaini mkataba wa makubaliano (MoU) yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa NIT jijini Dar es Salaam, tarehe 19/08/2021.


Lengo la makubaliano hayo
 ni kuongeza ushirikiano wa Elimu katika eneo la Tehama, pia  kubadilishana na kupeana  uzoefu kati ya wafanyakazi wa NMTC na NIT kwa maendeleo ya kiuchumi wa Taifa na watu.










 

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...