Monday, December 16, 2019

MAHAFALI YA 17, NTA LEVEL 6 ( DIPLOMA) KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA - KIGOMA (NMTC)

Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa Kigoma (NMTC) - NTA level 6 (Diploma) katika picha ya pamoja na mgeni rasmi (watatu kutoka kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TMA, Dkt. Buruhani Nyenzi.

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TMA Dkt. Buruhani Nyenzi, akihutubia wahitimu, wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma pamoja na wageni waalikwa kupitia mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma(NMTC), Ndg. Peter Nicky Mlonganile akiwasilisha taarifa ya chuo kwa mgeni rasmi katika mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

Mkuu wa mafunzo toka TMA, Bi. Tunsume Mwamboneke akitoa neno la shukrani katika mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

Mhitimu wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa Kigoma, NTA level 6 (Diploma) Bi. Hekima Kasela akipokea cheti cha nidhamu bora kupitia mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

Mhitimu wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma, NTA level 6 (Diploma) Ndg. Richard Mwabe akipokea cheti cha mwanachuo aliyefanya vizuri kwenye masomo katika mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

Kikundi cha tarumbeta kikitumbuiza wakati wa mapokezi katika mahafali ya 17 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa - Kigoma (NMTC).

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...