Friday, October 4, 2019

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA WAKATI WAFANYAKAZI TMA BANDARINI, DAR ES SALAAM WAKIPATA MAFUNZO YA HUDUMA KWA MTEJA

Washiriki wa Mafunzo ya Huduma kwa Mteja katika picha ya pamoja

Mkufunzi kutoka ofisi ya Masoko na Uhusiano Bi. Monica Mutoni akiendesha  mafunzo ya huduma bora kwa mteja




Washiriki mbalimbali wakichangia mada wakati mafunzo ya Huduma kwa mteja yakiendelea.

Tarehe 02 hadi 03 Oktoba, 2019 wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kituo cha Bandarini, Dar es salaam walipata mafunzo ya huduma kwa mteja. Lengo kuu ni kuongeza ufanisi na kuboresha huduma zitolewazo na Mamlaka kwa wateja mbalimbali. Mafunzo haya yalienda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja (Customer Service Week) ambayo huadhimishwa kila mwaka kuanzia Tarehe 02 mpaka 05 Oktoba.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...