| Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa elimu ya sayansi ya hali ya hewa katika shule ya msingi ya Mount Evarest - Dar es salaam. |
| Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi wa TMA Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa elimu ya sayansi ya hali ya hewa katika shule ya msingi ya Mother of Mercy - Dar es salaam. |
| Wanafunzi wakipokea zawadi mbalimbali mara baada ya kufanya vizuri katika mitihani ya majaribio waliyopatiwa. |
| Wataalam kutoka TMA wakisimika kituo cha kupima mvua (Raingauge) katika shule hizo |

No comments:
Post a Comment