Monday, August 20, 2018
UZINDUZI WA MFUMO WA TAIFA WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA
Tarehe 21 Agosti, 2018 Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mfumo wa
Taifa wa Huduma za Hali ya Hewa, utakaofanyika katika kituo cha mikutano
cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere, Dar es salaam kuanzia saa
saba(7) mchana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
-
10 Septemba 2024, Arusha: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya h...
-
Dar es Salaam, 22 /0 8 /202 4 ; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za VULI 202 4 kwa maeneo yanayopat...
ni mfumo gani huo?
ReplyDelete