Tuesday, February 11, 2020

TUKIO - TMA YAJIANDAA KUTOA TAARIFA YA UTABIRI WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA, TAREHE 13/02/2020



Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatarajia kutoa taarifa ya muelekeo wa msimu wa mvua za Machi hadi Mei 2020 (Masika) kwa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, Siku ya Alhamisi ya Tarehe 13Februari 2020 katika ofisi za TMA - MAkao Makuu, Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa ili kujua muda na yatakayojadiliwa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...