Thursday, September 19, 2019

TMA YAJIPANGA KUTOA ELIMU KUPITIA MAONESHO YA UTALII YA KARIBU KUSINI


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imejipanga kutoa elimu kwa umma na wawekezaji juu ya umuhimu wa matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa katika kukuza sekta ya Utalii kupitia maonesho ya utalii ya karibu Kusini.

Maonesho hayo yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 20 mpaka 22 Septemba, 2019 na kutarajiwa kufunguliwa rasmi na Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (Rais wa Zanzibar) katika viwanja vya Kihesa, Kilolo - Iringa.

Kauli mbiu ni "Karibu Kusini na Uwekezaji"

1 comment:

  1. Nafasi nzuri ya kuunganisha TMA na wananchi wa kusini.hongereni sana TMA

    ReplyDelete

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...