![]() |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akizungumza na vyombo vya habari kuhusu WMD 2019 |
![]() |
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mhandisi Japhet Loisimaye akifafanua namna taasis yake inavyozingatia matumizi sahihi ya huduma za hali ya hewa |
![]() |
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAA Bw. Elius Mwashiuya alifafanua jinsi huduma za hali ya hewa zinavyosaidia
katika ujenzi na uendeshaji wa viwanja vya ndege nchini |
![]() |
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Bw. Hamza Johari akielezea umuhimu wa huduma za hali ya hewa kwenye sekta usafiri wa anga |
![]() |
Baadhi ya washiriki wakifuatilia jambo wakati wa maadhimisho hayo |
![]() |
Mkurugenzi Mkuu wa TMA akimkaribisha mhe. waziri kuzungumza |
![]() |
Wafanyakazi wa TMA wakishiriki igizo fupi la kuonesha umuhimu wa huduma za hili ya hewa katika shughuli za uchumi na kijamii kwa ujumla |
No comments:
Post a Comment