|
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TMA Dkt. Buruhani Nyenzi akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri wa TMA, Dkt. Hamza Kabelwa akiongea kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Mtaalam wa Hali ya hewa kutoka TMA, Bw. Ramadhani Omary akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Wadau kutoka sekta ya mbalimbali wakichangia mada katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu ya “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Wataalam bingwa wa hali ya hewa pamoja na wadau kutoka sekta mbalimbali wakichangia mada katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania.
|
|
Wataalam bingwa wa hali ya hewa pamoja na wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika makundi wakijadili athari na ushauri kwa msimu wa mvua 2021 katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Matukio kwa picha wakati wadau wakisikiliza mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
|
Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Utabiri huo unatarajiwa kutolewa rasmi Tarehe 27 Oktoba 2021 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ghorofa ya tatu, Ubungo Plaza - Dar es Salaam, Tanzania. |
Dar es
Salaam, Tarehe 21/10/2021
“Utabiri
huu wa Msimu utaambatana na utabiri katika ngazi ya Wilaya zilizomo kwenye
maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua. Hivyo, nawapongeza sana TMA kwa hatua
hii kubwa ya kuongeza wigo wa utoaji utabiri hususani kwa watumiaji wa taarifa
za hali ya hewa wa sekta mbalimbali ambao wamekuwa na uhitaji wa taarifa za
utabiri wa maeneo madogo madogo kwenye maeneo yao kwa kutumia fursa mbali mbali
zilizopo”. Dkt. Buruhani Nyenzi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanzania (TMA) aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa wadau wa Utabiri wa Mvua
za Msimu (Novemba, 2021 hadi Aprili, 2022) wenye kauli mbiu ya “Matumizi sahihi ya utabiri wa maeneo
madogomadogo kwa ukuaji wa uchumi wa viwanda”, katika Ukumbi wa Chuo cha
Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Aidha, ili taarifa hizi za utabiri zilizoandaliwa kwa
kila wilaya, ziwe na tija iliyokusudiwa
tunahitaji kuipatia Mamlaka
ushirikiano katika kuhakikisha kwamba taarifa hizi zinawafikia watumiaji wa
mwisho kwenye sekta mbalimbali ili kuweza kuchangia katika ukuaji wa uchumi.
Pia alisema wanapojiandaa kupokea taarifa ya Utabiri wa Msimu wa Mvua za
Novemba 2021 hadi April, 2022 ni muhimu sana kila mmoja kufuatilia kwa karibu,
kuelewa, kupanga na kukabiliana na hali ya hewa inayotarajiwa katika sekta
yake. Aliongezea Dkt. Nyenzi
Kwa upande wake Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali
ya Hewa Duniani (WMO) amesema kuwa ni vyema kila wilaya
na kila sekta ikatumia taarifa za hali ya hewa katika kufanya maamuzi sahihi na
kuweka mipango ili kuboresha huduma zao kwa lengo la kuongeza tija na pia
kupunguza athari za hali mbaya ya hewa inapojitokeza.
Aidha, wadau wameipongeza Mamlaka kwa jitihada za kuhakikisha kuwa
taarifa hizi za hali ya hewa zinawafikia walengwa wakuu na pia wameitaka
Mamlaka kuongeza wigo wa kuifikia jamii ili ipate taarifa kwa wakati na pale
inapotokea mabadiliko ya utabiri wa hali ya hewa.
No comments:
Post a Comment