Friday, December 11, 2020

MIAKA 59 YA UHURU, 9 DISEMBA 2020

 

  Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...