Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), tunakupongeza Mhe.Dkt. Leonard Chamuriho kwa kuteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.
No comments:
Post a Comment