Friday, August 7, 2020

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ( SEKTA YA UCHUKUZI) MHANDISI. LEONARD CHAMRIHO ATEMBELEA BANDA LA TMA NANENANE 2020, SIMIYU.

 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano( Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi. Leonard Chamriho akikaribishwa na watumishi wa TMA alipotembelea banda la TMA katika maonesho ya NaneNane 2020, Simiyu.



Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang'a akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano( Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi. Leonard Chamriho akitembelea banda la TMA katika maonesho ya NaneNane 2020, Simiyu.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano( Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi. Leonard Chamriho akipokea zawadi kutoka TMA wakati alipotembelea banda la TMA katika maonesho ya NaneNane 2020, Simiyu.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...