Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt Kijazi akisalimiana na maafisa wa Wizara ya Uchukuzi alipotembelea Banda hilo. Aidha Dkt Kijazi alipata fursa ya kushiriki maonesho ya NaneNane katika banda la TMA kama inavyoonekana kwenye picha zifuatazo:
Dkt. Kijazi alipata fursa ya kutembelea mabanda mengine na kuweza kupata maelezo mafupi kuhusu shughuli za Taasisi zao.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi na Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi wa TMA Dkt Ladislaus Chang'a akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mamlaka za Bandari (TPA)
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa TAZARA
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa TCAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
Dar es Salaam, Tarehe 30/01/2025 Katika kuboresha ufanisi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),Taasisi ya Uongozi imetoa mafunzo ya sik...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
-
Dar es Salaam, 22 /0 8 /202 4 ; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za VULI 202 4 kwa maeneo yanayopat...
No comments:
Post a Comment