Sunday, August 31, 2014

TMA YAKUTANA NA WADAU WA HALI YA HEWA KUTOKA SEKTA MBALIMBALI KUJADILI UTABIRI WA MSIMU WA MVUA ZA OKTOBA HADI DESEMBA 2014




Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TMA  Mhandisi James Ngeleja (aliyesimama) akielezea umuhimu wa mikutano ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali alipofungua rasmi mkutano wa wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali nchini kwa niaba ya mwenyeki wa bodi hiyo Ndugu Morrison Mlaki wenye kujadili utabiri wa msimu wa mvua za Oktoba hadi Desemba 2014.



Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungungumza na wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali nchini lengo la TMA kukutana na wadau hao wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali



Baadhi ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali nchini wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na baadhi ya wajumbe



Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TMA  Mhandisi James Ngeleja (wa tano kutoka kulia mstari wa mbele), baadhi ya wajumbe wa Bodi hiyo pamoja na Mkurugenzi  Mkuu wa TMA Dkt Agnes KIjazi (wan ne kutoka kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja na wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbalimbali zikiwemo kilimo, afya, maafa,media,mifugo,nishati, utalii n.k

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...