WANAHABARI WASISITIZWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA WAKATI NA USAHIHI.
Mgeni rasmi ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi, Dkt. Ladislaus Chang'a akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya wanahabari kuhusu Msimu wa Mvua za Vuli (Oktoba hadi Disemba), uliofanyika katika Ukumbi wa TARI, Kibaha - Pwani, Tarehe 23 Agosti, 2023.
Mgeni rasmi ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi, Dkt. Ladislaus Chang'a akizungumza na wanahabari alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu Msimu wa Mvua za Vuli (Oktoba hadi Disemba 2023), uliofanyika katika Ukumbi wa TARI, Kibaha - Pwani, Tarehe 23 Agosti, 2023
Kaimu Meneja Masoko na Uhusiano -TMA, Bi. Monica Mutoni akiwasilisha Mada katika warsha ya wanahabari kuhusu Msimu wa Mvua za Vuli (Oktoba hadi Disemba 2023), uliofanyika katika Ukumbi wa TARI, Kibaha - Pwani, Tarehe 23 Agosti, 2023.
Matukio mbalimbali kwa picha wakati washiriki kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa kupitia warsha ya wanahabari kuhusu Msimu wa Mvua za Vuli (Oktoba hadi Disemba 2023), uliofanyika katika Ukumbi wa TARI, Kibaha - Pwani, Tarehe 23 Agosti, 2023
No comments:
Post a Comment