Friday, October 5, 2018

MKURUGENZI MKUU WA TMA AJUMUIKA NA WATANZANIA KUSHEREHEKEA MAADHIMISHO YA URITHI WETU KATIKA VIWANJA VYA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO, DAR ES SALAAM

Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akisaini kitabu cha wageni na kupata maelezo mafupi namna wataalam kutoka TMA walivyoshiriki kutoa elimu kwa umma, katika maonesho ya Urithi Wetu viwanja vya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama kuanzia tarehe 01 hadi 06 Oktoba 2018
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akiwasisitiza wananchi (pichani hawapo) umuhimu wa kutumia huduma za hali ya hewa kutoka  TMA katika shughuli zao hususani katika kutunza urithi wetu, katika maonesho ya Urithi Wetu viwanja vya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama kuanzia tarehe 01 hadi 06 Oktoba 2018
Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wanafunzi waliofanikiwa kujibu swali katika maonesho ya Urithi Wetu viwanja vya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama kuanzia tarehe 01 hadi 06 Oktoba 2018
Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akitoa maelezo mafupi  kwa wagaeni waliotembelea banda la TMA katika maonesho ya Urithi Wetu viwanja vya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama kuanzia tarehe 01 hadi 06 Oktoba 2018
Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akitembelea baadhi ya mabanda ya taasisi za serikali na wajasiriamali walioshiriki  katika maonesho ya Urithi Wetu viwanja vya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama kuanzia tarehe 01 hadi 06 Oktoba 2018

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...