Friday, June 17, 2016
MJUMBE WA KAMATI KUU YA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIA DKT. AGNES KIJAZI ASHIRIKI MKUTANO WA 68 WA KAMATI KUU YA UTENDAJI YA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI(WMO, EC-68), GENEVA, USWISI.
Picha za pamoja wakati wa Ufunguzi
wa Mkutano wa Sitini na Nane wa Kamati Kuu ya Utendaji ya Shirika la
Hali ya Hewa Duniani (WMO-EC 68), tarehe 15-24 Juni 2016, Geneva,
Uswisi ambapo Dkt. Agnes Kijazi-Mkurgenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani
na Mjumbe wa "WMO Excecutive Council" anashiriki. Dkt. Kijazi anashiriki
katika Mkutano huo pamoja na Meneja wa Mahusiano ya Kimataifa wa TMA,
Bw. Wilbert Muruke.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
10 Septemba 2024, Arusha: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya h...
-
06 Septemba 2024, Dar es Salaam: Wahandisi nchini wamekumbushwa umuhimu wa huduma za hali ya hewa sambamba na kuchangia gharama za upatik...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
No comments:
Post a Comment