[Mikoa ya Dar es
Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya
Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu
kiasi, Mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya
Kagera, Mara, Mwanza]:
|
|
Hali ya mawingu
kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya
Kigoma, Tabora, Rukwa, Shinyanga, Geita na Simiyu Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya
Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mbeya,
Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
|
Hali ya mawingu
kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
14°C
|
12:42
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
19°C
|
12:37
|
12:19
|
DODOMA
|
25°C
|
13°C
|
12:49
|
12:35
|
KIGOMA
|
30°C
|
18°C
|
01:11
|
01:01
|
MBEYA
|
20°C
|
10°C
|
01:03
|
12:39
|
MWANZA
|
29°C
|
18°C
|
12:55
|
12:51
|
TABORA
|
29°C
|
13°C
|
12:59
|
12:49
|
TANGA |
28°C
|
19°C
|
12:34
|
12:24
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
23°C
|
12:37
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka
Kusini-Mashariki
kwa ukanda
wa Pwani
ya Kusini na Kusini kwa ukanda wa pwani ya Kaskazini.
Hali
ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio
kwa siku ya Ijumaa 18/07/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 16/07/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment