[Mkoa wa Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu
kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya
Kigoma, Tabora, Rukwa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita na Simiyu]:
[Mikoa ya
Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mbeya,
Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya
Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu
kiasi na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA
MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
14°C
|
12:42
|
12:36
|
D'SALAAM
|
30°C
|
20°C
|
12:37
|
12:19
|
DODOMA
|
27°C
|
14°C
|
12:49
|
12:35
|
KIGOMA
|
29°C
|
18°C
|
01:11
|
01:01
|
MBEYA
|
24°C
|
06°C
|
01:03
|
12:39
|
MWANZA
|
27°C
|
19°C
|
12:55
|
12:51
|
TABORA
|
31°C
|
14°C
|
12:59
|
12:49
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:34
|
12:24
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
23°C
|
12:37
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kutoka
Kusini-Mashariki
kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa
Pwani ya kusini.
Hali
ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.
Matazamio
kwa siku ya Jumatano 16/07/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/07/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment