Thursday, October 22, 2026

Tuzo kwa wanahabari

 TMA yatowa Tuzo kwa wanahabari Bora wa habari za Hali ya Hewa 2026 nchini. Tuzo hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mhe. Jaji Mshibe Ali Bakari katika hafla fupi kwenye warsha ya wanahabari ya kujadili utabiri wa mvua za msimu za  Novemba 2026 hadi Aprili 2027 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaama (DIT), jijini Dar es Salaam Tarehe 22 Oktoba 2026.














































No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...