Monday, January 20, 2025

UZINDUZI WA MRADI WA HALI YA HEWA WA SOFF TANZANIA




 


Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania unatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 21 Januari 2025






No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...