Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Hamza Kabelwa akisoma hotuba ya Dkt. Agnes Kijazi katika ufunguzi wa uboreshaji wa huduma za hali za hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Mgeni rasmi na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Dkt. Thea Ntara ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela akihutubia hotuba ya Mhe. Abbas Kandoro wananchi walioshiriki katika ufunguzi wa uboreshaji wa huduma za hali za
hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika
ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi TMA Dkt. Pascal Waniha akitoa neno la shukrani kwa niaba ya TMA kwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa uboreshaji wa huduma za hali za
hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika
ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Baadhi ya washiriki wa ufunguzi wa uboreshaji wa huduma za hali za
hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika
ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Mgeni rasmi akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari baada ya kufunga rasmi uboreshaji wa huduma za hali za
hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika
ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mara baada ya ufunguzi wa uboreshaji wa huduma za hali za
hali ya hewa ukanda wa Ziwa Nyasa uliyofanyika tarehe 11 Mei 2015 katika
ukumbi wa mikutano wa Kyela Resort, Kyela-Mbeya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
10 Septemba 2024, Arusha: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya h...
-
06 Septemba 2024, Dar es Salaam: Wahandisi nchini wamekumbushwa umuhimu wa huduma za hali ya hewa sambamba na kuchangia gharama za upatik...
-
Morogoro, Tanzania; 16 Oktoba 2024. Kamati Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya H...
No comments:
Post a Comment