Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Agnes Kijazi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam, Tarehe 24 Machi 2015.
Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha
ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na
Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam, Tarehe
24 Machi 2015.
Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri Dkt. Hamza Kabelwa katika
ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali
ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es
Salam, Tarehe 24 Machi 2015.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali
ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es
Salaam, Tarehe 24 Machi 2015.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali
ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es
Salaam, Tarehe 24 Machi 2015.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
-
10 Septemba 2024, Arusha: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya h...
-
Dar es Salaam, 22 /0 8 /202 4 ; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za VULI 202 4 kwa maeneo yanayopat...
No comments:
Post a Comment