Tuesday, January 20, 2015

WARSHA YA MFUMO WA KIMATAIFA WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA UWASILILISHWAJI WA RIPOTI YA IPCC KAMA ILIVYOJADILIWA KATIKA MKUTANO WA 20 (COP20) WA MABADILIKO YA HALI YA HEWA



Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu- TMA Dkt. Agnes Kijazi akipata utambulisho wa washiriki wa warsha ya Mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa Barani Afrika na uwasilishwaji wa ripoti ya IPCC kama ilivyojadiliwa katika mkutano wa 20 (COP20) wa mabadiliko ya hali ya hewa iliyofanyika, Kibaha. Tarehe 20 Januari 2015.

   
 Bi. Juwalia Mshana akiwa mmoja wa washiriki wa warsha ya Mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa Barani Afrika na uwasilishwaji wa ripoti ya IPCC kama ilivyojadiliwa katika mkutano wa 20 (COP20) wa mabadiliko ya hali ya hewa iliyofanyika, Kibaha. Tarehe 20 Januari 2015 akijitambulisha kwa mgeni rasmi.
Mkurugenzi  huduma za utafiti na matumizi-TMA Dkt. Ladislaus Chang'a akimkaribisha mgeni rasmi ili afungue warsha rasmi
Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu- TMA Dkt. Agnes Kijazi akifungua rasmi warsha ya mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa Barani Afrika na uwasilishwaji wa ripoti ya IPCC kama ilivyojadiliwa katika mkutano wa 20 (COP20) wa mabadiliko ya hali ya hewa iliyofanyika, Kibaha. Tarehe 20 Januari 2015.

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa Barani Afrika na uwasilishwaji wa ripoti ya IPCC kama ilivyojadiliwa katika mkutano wa 20 (COP20) wa mabadiliko ya hali ya hewa iliyofanyika, Kibaha. Tarehe 20 Januari 2015.

Mmoja wa mshiriki kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Prof. Pius Yanda akifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi

Prof. Pius Yanda akiongoza mjadala wa warsha wakati wa kipindi cha majadiliano

Mkurugenzi Mkuu-TMA akishiriki katika majadiliano ya warsha
Meneja wa TMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bw. Issa Hamad akichangia jambo katika warsha hiyo
Washiriki wa warsha  katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wa warsha hiyo

Washiriki wa warsha hiyo ni kutoka taasisi mbalimbali zikiwemo Ofisi ya Makamu wa Rais (VPO), vyuo vikuu (SUA na UDSM), Asasi za kiraia (PAKAYA), wakuu wa vituo vya hali ya hewa kanda zote Tanzania (Mwanza, Mbeya,Morogoro, Tabora, Dodoma,Mtwara na Zanzibar).











No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...