Mhandisi wa huduma za Radar Bw. Lemmy Mganga
akitoa maelezo ya eneo la mradi kwa wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA walipotembelea
mradi huo mkoani Mwanza katika milima ya Kiseke-Ilemela
: Mwenyekiti wa Bodi
ya Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki akipata maelezo ya kina kutoka kwa mtaalam
toka Ufaransa
Mhandisi wa huduma za
Radar Bw. Lemmy Mganga akiendelea kutoa maelezo zaidi ya utendaji kazi wa radar
ya hali ya hewa iliyopo Mwanza
Mwenyekiti wa Bodi ya
Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes
Kijazi wakifanya mahojiano na wanahabari walioambatana na ujumbe huo
Mwenyekiti wa Bodi ya
Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki akisisitiza jambo kwa wanahabari
Mhandisi wa huduma za
Radar Bw. Lemmy Mganga akitoa ufafanuzi kwa wanahabari
Mwenyekiti wa Bodi ya
Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi,
wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA, Menejiment ya TMA pamoja na wahandisi kutoka
TMA na Ufaransa katika picha ya pamoja walipotembelea mradi wa Rada ya hali ya
hewa, Mwanza
Mwenyekiti na wajumbe wa bodi ya ushauri ya TMA wakipata maelezo ya uchambuzi wa taarifa za hali ya hewa kupitia radar katika ofisi za Hali ya Hewa zilizopo katika uwanja wa ndege wa Mwanza
Mwenyekiti na wajumbe wa bodi ya ushauri ya TMA wakipata maelezo ya taarifa za hali ya hewa kwa matumizi ya ziwani zitolewazo na ofisi za Hali
ya Hewa zilizopo katika Bandari ya Mwanza kutoka kwa meneja wa Kanda ya Ziwa Bw. Michael Likunama
Tunaomba ufafanuzi juu ya rada ya kiseke, Je ni kweli wananchi wanatakiwa kuondoka katika makazi yao umbali wa mita 1000 ? Kama jibu ndio wanaondoka kwa utaratibu upi na ni kwanini radar iwekwe kwenye makazi ya watu?
ReplyDelete