Thursday, September 13, 2018

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), YAENDELEA KUPANUA WIGO WA KUTOA UTABIRI WA MSIMU KWA MAENEO MADOGO MADOGO NGAZI YA WILAYA





Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yaendelea kupanua wigo wa kutoa utabiri wa msimu kwa maeneo madogo madogo ngazi ya wilaya. Zoezi la uandaaji wa utabiri huo kwa msimu wa Vuli 2018 katika wilaya za Kaskazini B Mkoani Kaskazini Unguja na Mvomero Mkoani Morogoro, limefanyika tarehe 10 hadi 13 septemba, 2018, kwa  kushirikisha wataalam wa hali ya hewa na maafisa  ugani wa wilaya hizo chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani USAID kupitia Shirika la Kimataifa la Chakula na Kilimo (FAO).

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...