Monday, June 24, 2019

MATUKIO MBALIMBALI YA MAPOKEZI YA MAKAMU WA TATU WA RAIS WA WMO DKT. AGNES KIJAZI ALIPOWASILI MAKAO MAKUU YA OFISI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA).



Wanawake wa TMA wakimpokea mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi ambaye amechaguliwa kuwa makamu wa tatu wa Rais wa WMO alipowasili ofisini tarehe 21/06/2019
Kaimu mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt. Pascal Waniha akiwasilisha salamu za pongezi kwa niaba ya menejiment na wafanyakazi wote wa TMA.

Mwenyekiti wa wanawake wa TMA (UWTMA), Bi. Zainab Gumbo akitoa salamu za pongezi kwa niaba ya wanawake wote wa TMA


Makamu wa tatu wa Rais wa WMO Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa TMA kuwashukuru kwa mapokezi mazuri






Zawadi za pongezi zikiwasilishwa kwa niaba ya wafanyakazi wote.





Baadhi ya wafanyakazi kutoka makao makuu, CFO, bandarini, JKNIA pamoja na wanahabari katika mapokezi ya makamu wa tatu wa Rais wa WMO.

Picha za pamoja za menejiment ya TMA na baadhi ya wafanyakazi wa TMA mara baada ya kumpokea makamu wa tatu wa Rais wa WMO Dkt. Agnes Kijazi.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...