Thursday, August 7, 2014

MHE:SOPHIA SIMBA AWAPONGEZA TMA KUWAFIKISHIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MATUMIZI YA KILIMO KWA NJIA YA SIMU ZA MKONONI


Waziri wa Maendeleo ya Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kanda Bw. Augustino Nduganda kwenye banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa katika maonesho ya NaneNane 2014 mkoani Morogoro
Baadhi ya wanafunzi wakipata elimu ya upimaji wa hali ya hewa kutoka kwa maafisa wa hali ya hewa kwenye maonesho ya NaneNane mkoani MorogoroNo comments:

Post a Comment