Monday, August 4, 2014

MAMLAKA YA HALI YA HEWA KUTOA ELIMU KWA JAMII KUPITIA MAONESHO YA NANENANE

Muonekano wa Banda la maonesho ya NaneNane 2014 kanda ya Kati-Dodoma
Washiriki wa maonesho ya NaneNane 2014-Dodoma wakirusha mapulizo angani, mapulizo hayo yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi katika maonesho mbalimbali
Washiriki wa maonesho ya NaneNane 2014-Dodoma wakifanya zoezi la utoaji elimu kwa umma (reharsal) kama njia mojawapo ya kujijengea uwezo katika kutoa elimu sahihi na yenye manufaa kwa wananchi kulingana na kauli mbiun ya mwaka huu.

KAULI MBIU YA MWAKA HUU NI:'Matokea makubwa sasa, Kilimo ni Biashara'No comments:

Post a Comment