Thursday, November 3, 2016

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI KWA KIPINDI CHA NOVEMBA 2016



Dondoo muhimu za mwezi Novemba, 2016

Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mifumo ya hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, 2016 na mwelekeo wa viashiria vya mifumo ya hali ya hewa pamoja na mvua katika kipindi cha mwezi Novemba, 2016.

  1. Mwelekeo wa mvua za Vuli, 2016 kwa kipindi cha mwezi Novemba, 2016:
Hali ya upungufu wa mvua inatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi katika kipindi cha mwezi Novemba, 2016.

  1. Maeneo ya Nyanda za juu Kaskazini mashariki pamoja  na maeneo ya mkoa wa Tabora mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya tatu ya mwezi Novemba,2016.

  1. Mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria, na  mvua za chini ya wastani katika maeneo mengine ya nchi. 
    Mkurugenzi Mkuu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu mwelekeo wa mvua za vuli mwezi Novemba 2016

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...