Sunday, February 15, 2015

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WANAOSIMAMIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA AFRIKA (AMCOMET)

 Riasi wa Cape Verde Mhe.Jorge Carlos Fonseca akifungua mkutano wa Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya hewa umoja wa Afrika, uliofanyika nchini Cape Verde kuanzia tarehe 12-14 Februari 2014.


 Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi sambamba na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi Dkt. Pascal Waniha katika ushiriki wa mkutano huo


Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa Afrika katika picha ya pamoja ambapo walikutana kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo na changamoto kabla ya mkutano huo


AMCOMET (African Ministerial Committee for Meteorology) ni Kamisheni ya
Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya Hewa Umoja wa Afrika mwaka huu umefanyika katik visiwa vya Cape Verde.Tanzania iliwakilishwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. Dkt. Charles Tibeza.

Kabla ya Mkutano huo Mkutano huo, Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa
Afrika walikutana katika mkutano wao kujadili masuala mbalimbali ya
maendeleo na changamoto katika Regional one meeting RA-1 na Technical
Meeting ya AMCOMET

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...