Friday, March 20, 2015

WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWAWaziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes Kijazi. (Picha Juu)

No comments:

Post a Comment