Thursday, July 25, 2024

TMA CHACHU KATIKA KUSAIDIA KUPUNGUZA ATHARI ZA KUZAMA MAJI NCHINI.



 





DAR ES SALAAM, 24 JULAI 2024.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetajwa kuwa chachu ya kupunguza athari za kuzama maji nchini kwenye mkutano na waandishi wa habari uliyoandaliwa na Shirika la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo (EMEDO) katika ukumbi wa hoteli ya Mbezi Garden, tarehe 24 Julai 2024. Mkutano huo ni moja ya maandalizi ya kuadhimisha Siku ya Kuzama Maji Duniani (World Drowning Day) ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Julai.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mtendaji wa EMEDO Bi. Editrudith Lukanga amezipongeza taasis za Serikali kwa kushirikiana na EMEDO, huku akiitaja TMA kama Taasisi ambayo imekuwa chachu katika kusaidia kupunguza athari zitokanazo na hali mbaya ya hewa na hivyo kuepusha jamii kuzama maji.

"Kupitia ushirikiano kati yetu na taasis mbalimbali za serikali, TMA imekuwa chachu katika kusaidia kupunguza athari zitokanazo na hali mbaya ya hewa na kuepusha jamii kuzama maji". Alisema Bi. Editrudith Lukanga.

Kwa upande mwingine Afisa Mkaguzi wa Vyombo Majini (TASAC), Ndg. George Mnali ameelezea utaratibu wao katika kukabiliana na hali mbaya ya hewa mara baada ya kupata taarifa za TMA, kazi yao ni kuzichakata kulingana na matumizi yao katika kuhakikisha wanapunguza athari zinazoweza kujitokeza Baharini au Ziwani.

Aidha, Mtaalam wa hali ya hewa mwandamizi kutoka TMA, Ndg. Aloyce Swenya, alielezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka na kuishukuru taasis ya EMEDO kwa kuendeleza ushirikiano huku akiwasisitiza wadau wengine kuhamasika katika utumiaji wa taarifa za hali ya hewa ikiwemo huduma mahususi zinazotolewa na TMA ili kuleta maendeleo endelevu hapa nchini.

Monday, July 22, 2024

TMA AND UNDP CONDUCTS A JOINT MEETING TO DISCUS DOCUMENTS FOR SYSTEMATIC OBSERVATION FINANCING FACILITY (SOFF) PROJECT IMPLEMENTATION IN TANZANIA


Group photo of participants of the joint meeting between TMA and UNDP, which was held on 19th July, 2024 at Morena Hotel, in Dodoma City.




Co-Chair of the meeting from TMA, Acting Director General of TMA, Permanent Representative of Tanzania with WMO and Vice Chair of IPCC, delivering remarks during the joint meeting between TMA and UNDP held on 19th July, 2024 at Morena Hotel, in Dodoma City. On his right hand side is the Co-Chair from UNDP Mr, Godfrey Mulisa, Senior Governance Adviser at UNDP

Co-Chair of the meeting from UNDP Mr, Godfrey Mulisa Senior Governance Adviser at UNDP (on the right hand side) delivering remarks during the joint meeting between TMA and UNDP held on 19th July, 2024 at Morena Hotel, in Dodoma City.

Co- Chair of the meeting between TMA and UNDP (Dr. Ladislaus Chang’a on the left handside and  Mr. Godfrey Mulisa on the right hand side)  seated facing the participants of the meeting when they co-chaired the meeting on 19th July, 2024.



Dodoma, Tanzania; 19th July, 2024.

 

Tanzania Meteorological Authority and UNDP conducted a joint meeting whose objective was to initiate the preparatory phase of the implementation of the Systematic Observation Facility Fund (SOFF) project in Tanzania. The meeting was held on 19th July, 2024 in Dodoma.

 

The meeting was Co-Chaired by the Acting Director General of TMA, Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) who is also the Vice Chair of The Inter-Governmental Panel on Climate Change (IPCC), Dr. Ladislaus Chang'a and Mr Godfrey Mulisa, Senior Governance Adviser at UNDP who represented the Resident Representative of UNDP in Tanzania.

 

The objective of the meeting was to deliberate on the preparation  of  draft working tools prepared by the Project Technical Coordination Committee (PTCC). The documents which were presented for review and guidance by the Co-Chairs include the Work Plan for the SOFF Project implementation in Tanzania during July – December, 2024; Terms of Reference of the Project Technical Coordination Committee (PTCC); and Terms of Reference of the Project Steering Committee (PSC) at National level. The meeting also deliberated on the high level launching event of SOFF project which is scheduled to take place by September, 2024.

 

In their opening remarks, both Co-Chairs from TMA and UNDP appreciated the great work done and commitment shown by the PTCC in preparing the documents. The Permanent Representative of Tanzania with WMO also emphasized on the Tanzania commitment to the implementation of SOFF and insisted the PTCC to continue with the commitment to ensure successful implementation of SOFF project in Tanzania and that it leaves a legacy in the whole value chain of provision of weather and climate services in Tanzania and becomes a roll model to others. "We are committed in ensuring that the implementation of SOFF project in Tanzania will leave a long-lasting legacy not only in Africa but to all developing countries across the world. That's why we are putting all the necessary efforts and have assembled a very strong competent team in all the required areas of implementation process so as to ensure everything proceeds as planned" said Dr Chang'a. Dr Chang'a also thanked the UNDP for their continued support in this process. Mr. Godfrey Mulisa, Senior Governance Adviser at UNDP who represented the UNDP Resident Representative,  Mr. Shigeki Komatsubara also thanked TMA for the commitment shown in  continuing  with the good existing partnership between TMA with UNDP. 

 

"I would like to thank TMA for the very good leadership and commitment, you have really demonstrated that you really qualified to be part of this programme, and the reason we are here in the investment phase of the project." Said Mr Mulisa. PTCC is a technical body that has been formulated at National level of SOFF project governance in Tanzania to report to the PSC. The meeting was considered as a pre-meeting of the SOFF Project Steering Committee, which is planned to take place before the official launching of the project. SOFF is a United Nations Multi-Partner Trust Fund (UN MPTF) co-established by WMO, UNDP and the UNEP at COP26. It is a specialized UN climate fund to support countries in closing the Global Basic Observing Network (GBON) weather and climate data gaps, especially in Least Developed Countries (LDCs) and Small Island Developing States (SIDS).

 

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...