Thursday, September 22, 2016

MKUU WA MKOA WA KIGOMA AFUNGUZA RASMI WARSHA INAYOHUSU UBORESHAJI NA UANISHAJI WA MAHITAJI YA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA MAENEO YA ZIWA TANGANYIKA KWA SEKTA YA WAVUVI NA WASAFIRISHAJI, MWAKA HILL HOTEL, KIGOMA, TAREHE 15 SEPTEMBA 2016


Picha na. 1: Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Brigedia jenerali Mstaafu  Emmanuel Maganga akifungua rasmi warsha hiyo kwa kusisitiza umuhimu wa matumizi ya taarifa za hali ya hewa kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma hususani  Ziwa Tanganyika wakati wa ufunguzi rasmi.

Picha na4: Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Brigedia jenerali Mstaafu  Emmanuel Maganga katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha.

Warsha hii ya siku mbili  ilijumuisha wadau mbalimbali kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa; Uvuvi, Maafa na Usafirishaji, Wizara ya Maji; Bonde la Ziwa Tanganyika, SUMATRA, Bandari, Jeshi la Maji, Jeshi la Polisi, Kambi za wavuvi, Kambi za wasafirishaji (Beach Management Units), wanahabari na manahodha.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...