Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa akipata maelezo ya upimaji
wa taarifa (takwimu) za hali ya hewa katika Kituo cha Hali ya Hewa kilichopo
katika uwanja wa ndege wa Shinyanga.Anayetoa maelezo ni Meneja wa Kituo hicho
Bw. Khamis Omary. Mhe. Waziri amekuwa akiendelea na ziara ya kukagua ufanisi wa
kazi katika taasis zilizopo chini ya Wizara yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
Dar es Salaam, Tarehe 30/01/2025 Katika kuboresha ufanisi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),Taasisi ya Uongozi imetoa mafunzo ya sik...
-
DODOMA; Tarehe 19 Agosti, 2024; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na...
-
Dar es Salaam, 22 /0 8 /202 4 ; Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za VULI 202 4 kwa maeneo yanayopat...
No comments:
Post a Comment