Tuesday, February 10, 2015

SHULE YA JESHI LA WANAMAJI-KIGAMBONI YATEMBELEA OFISI ZA HALI YA HEWA JNIAShule ya Kijeshi ya Wanamaji Kigamboni watembelea ofisi za  JNIA kwa ajili ya mafunzo. Pichani ni mkuu wa shule hiyo akikabidhi zawadi ya fulana kwa Kaimu Meneja wa Usafiri wa Anga na  Maji Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ndugu John Mayunga. Pembeni ni ofisa wa zamu(Duty Forecaster) ndugu Maria Cathbert

No comments:

Post a Comment