Monday, December 8, 2014

WAZIRI WA UCHUKUZI AIPONGEZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) KWA KUENDELEA KUBORESHA UTABIRI WA HALI YA HEWA


Waziri wa Uchukuzi Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe (MB) akipata maelezo  mafupi ya huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa anga kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri-TMA Dkt. Hamza Kabelwa kwenye kilele cha  maonesho wa usafiri wa anga tarehe 05 Desemba 2014. Mheshimiwa waziri aliambatana na mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya miundo mbinu Mhe. Peter Serukamba (MB)(mwenye tai nyekundu).
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe (MB) akisaini kitabu cha wageni katika banda la TMA kwenye maonesho ya usafiri wa anga akiongozwa na Afisa Uhusiano wa TMA Bi. Monica Mutoni
Washiriki wa maonesho ya usafiri wa anga kutoka TMA katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri Dkt. Hamza Kabelwa (mwenye suti)

No comments:

Post a Comment