Ramani ya
utabiri wa msimu wa VULI 2017 kaika lugha ya kiswahiliiliyotolewa rasmi
kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza
tarehe 04 Septemba 2017 |
Dkt. Agnes Kijazi akitoa utabiri wa msimu wa Oktoba-Desemba 2017 (VULI) kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017 |
Wanahabari na baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika utulivu kusikiliza utabiri wa msimu wa VULI 2017 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017 |
Ramani ya utabiri wa msimu wa VULI 2017 kaika lugha ya kingereza iliyotolewa rasmi kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017 |