Thursday, August 31, 2017

WANAHABARI WAPIGWA MSASA MAANDALIZI YA MSIMU WA MVUA ZA OKTOBA HADI DESEMBA 2017(VULI) YALIFANYIKA TAREHE 30 AGOSTI 2017, TMA-UBUNGO PLAZA

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt Agnes Kijazi na wakurugenzi wa divisheni mbalimbali katika picha ya pamoja na wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt Agnes Kijazi akizungumza na wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Bw. Henry Mabumo kutoka ITV akichangia jambo kwenye  mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Bw. William Shechambo wa gazeti la Uhuru akichangia jambo kwenye  mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Bw. Joachim Mushi kutoka blog ya the. habari.com na mwenyekiti wa 'bloggers' akichangia jambo kwenye  mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Bw. Costantino Pius kutoka redio Wapo akichangia jambo kwenye  mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Baadhi ya wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza
Baadhi ya wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza wakijadili mada katika makundi

Thursday, August 24, 2017

MATUKIO YA GHACOF 47 KATIKA PICHA ILIYOFANYIKA ZANZIBAR TAREHE 21-22 AGOSTI 2017

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa akihutubia washiriki wa mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Mhe. MwinyiUssi Abdallah Hassan akitoa neno la shukrani  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkurugenzi wa ICPAC  Dkt. Gulied Artan akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mwakilishi wa USAID Bw. Brat Arsenault akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Baadhi ya washiki kutoka nchi mbalimbali
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.

Saturday, August 5, 2017

TMA NA MKAKATI WA KUELEMISHA TAIFA LA KESHO LA VIJANA KWENYE MAONESHO YA NANENANE 2017 YANAYOENDELEA MKOANI LINDI

Wanafunzi wa Sekondari ya Ngongo wakijifunza katika Banda la TMA, kwenye maonesho ya NaneNane 2017, Lindi
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya wasichana ya Mtwara waliofanya vizuri katika mtihani(quiz) iliyofanyika baada ya kipindi cha elimu ya sayansi ya hali ya hewa hususan namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyangao iliyopo Lindi wakiendelea na kipindi wakati walipotembelewa na wataalamu kutoka TMA
Mkurugenzi wa utafiti na matumizi, Dkt. Ladislaus Chang'a akifundisha wanafunzi wa shule ya sekondari Nyangao, Lindi
Mwanafunzi wa Nyangao akinyoosha mkono ili kujibu swali
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mtwara wakisikiliza kwa makini umuhimu wa kuzingatia masomo na nidhani kwa watoto wa kike
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mtwara wakisikiliza kwa makini
Wanafunzi wa Nyangao wakisikiliza kwa makini
Kipindi kikiendelea

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...