Mkurugenzi
Mkuu-TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya uhamasishaji
wa kuongeza uelewa na usambazaji wa taarifa zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya
Hewa Tanzania kwa wadau wake, Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.
Mtaalam wa hali ya hewa Bw. W. Kikwasi akiwasilisha mada kwa washiriki wa warsha ya uhamasishaji
wa kuongeza uelewa na usambazaji wa taarifa zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya
Hewa Tanzania kwa wadau wake, Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.
Washiriki
wa warsha inayohusu uhamasishaji wa kuongeza uelewa na usambazaji wa taarifa
zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa wadau wake wakisikiliza mada, Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.
Meza kuu
katika ufunguzi wa warsha ya uhamasishaji wa kuongeza uelewa na usambazaji wa
taarifa zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa wadau wake, Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu-TMA Dkt. Agnes Kijazi akiongea na washiriki wa warsha ya uhamasishaji wa
kuongeza uelewa na usambazaji wa taarifa zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanzania kwa wadau wake, Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.
Washiriki wa
warsha inayohusu uhamasishaji wa kuongeza uelewa na usambazaji wa taarifa
zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa wadau wake wafanya
majadiliano katika makundi,Tarehe 26 Julai 2016, TMA Makao Makuu, Dar es Salaam.