Friday, February 17, 2017

TMA YASHIRIKI MAONESHO YA KONGAMANO LA KISAYANSI LA BONDE LA ZIWA VICTORIA TAREHE 15-16 FEBRUARI 2017-MWANZA

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi) Dkt. Leonard M. Chamuliho katika picha ya pamoja na washiriki wa kongamano kutoka taasis zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi), katika hoteli ya Malaika, Mwanza.

No comments:

Post a Comment