Wednesday, August 7, 2019

VIONGOZI NA WANANCHI MBALIMBALI NCHINI WAFURAHISHWA NA UTOAJI ELIMU YA HALI YA HEWA KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2019.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akipewa elimu ya sayansi ya hali ya hewa alipotembelea banda la TMA lililopo kwenye maonesho ya Nanenane, viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akisaini kwenye kitabu cha wageni mara alipotembelea banda la TMA lililopo katika maonesho ya nanenane kwenye viwanja vya Nyakabindi, Mkoani Simiyu



Matukio mbalimbali kwa picha wakati wageni wakiendelea kupokea elimu ya sayansi ya hali ya hewa kutoka kwa wafanyakazi wa TMA, katika banda lake lililopo viwanja vya Nyakabindi, Mkoani Simiyu


 

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Albert Chalamila (mwenye koti la suti rangi ya kahawia) alitembelea banda la TMA katika viwanja vya Mwakangale Mkoani Mbeya na kupata elimu ya hali ya hewa kutoka kwa meneja wa kituo cha TMA, Mbeya Bw. Issa Hammad. 

 




Matukio kwa picha wakati wageni wakiendelea kupokea elimu ya sayansi ya hali ya hewa kutoka kwa wataalamu  wa TMA, katika banda lake lililopo viwanja vya Mwakangale, mkoani Mbeya.



Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (wapili kutoka kushoto)  alitembelea banda la TMA, Mkoani  Morogoro 


Matukio kwa picha wakati wageni wakiendelea kupokea elimu ya sayansi ya hali ya hewa kutoka kwa wataalamu  wa TMA, katika banda lake lililopo viwanja vya Nanenane, mkoani Morogoro

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...