Friday, June 7, 2019

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII WA TANZANIA NA KUGOMBEA NAFASI YA MAKAMU WA TATU WA RAIS WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

Matukio mbalimbali katika kampeni ya kutangaza vivutio vya utalii wa Tanzania na kugombea nafasi ya makamu wa tatu wa Rais wa shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wakati wa mkutano mkuu wa 18 wa WMO (WMO- Cg-18), Geneva tarehe 6Juni 2019. Aidha nchi nyingi zimeonesha nia ya kuipigia kura Tanzania na baadhi ya washiriki wamevutiwa na vivutio vya utalii na kuahidi kutembelea Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...