Wednesday, August 22, 2018

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI AKUTANA NA VIONGOZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO KATIKA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI

Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duncan Prof. Petteri Taalas(wapili autoka kulia) katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (MB) (wapili kutoka kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leonard Chamuhilo na Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi wakati walipokutana kwenye ofisi za Wizara hiyo
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika mazungumzo baina ya Katibu Mkuu na Naibu Waziri  ambao ni  mwakilishi wa WMO Bw. Mark Majodina, Mkurugenzi wa huduma za utabiri, TMA Dkt. Hamza Kabelwa na Mkurugenzi Ofisi ya Zanzibar TMA Bw. Mohamed Ngwali

Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Agnes Kijazi na Mwakilishi wa WMO Kikanda Bw. Mark Majodina wakati wa montano wa Katibu mkuu WMO na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano 

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu WMO Prof. Petteri Taalas wakati wa mkutano wao
Katibu Mkuu WMO Prof. Petteri Taalas akizungumza wakati wa mkutano wao  huku akisikilizwa na Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu WMO Prof. Petteri Taalas wakati wa mkutano wao



Katibu Mkuu WMO Prof. Petteri Taalas akipokea Zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye mara baada ya mkutano wao

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...