Tuesday, August 14, 2018
TMA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO WA MRADI WA HIGH IMPACT WEATHER LAKE SYSTEM (HIGHWAY)”
Mamlaka
ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Mradi wa HIGH Impact Weather lAke sYstem (HIGHWAY)” unaojadili namna ya
kuongeza uwezo za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizoko kwenye
eneo la bonde la Ziwa Victoria katika kupima na kufuatilia mifumo ya hali ya
hewa hususani ile inayosababisha hali mbaya ya hewa ndani ya Ziwa Victoria kwa
lengo la kuokoa maisha ya watu na mali zao "HIGH Impact Weather lAke sYstem (HIGHWAY) Gap Analysis". Mradi wa HIGHWAY
unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Nchini Uingereza (DFID) kupitia program
yake ya Weather and Climate Information Services for Africa (WISER)” na kutekelezwa
kwa ushirikiano na Sekretariet ya EAC, Shirika la Hali ya hewa Duniani(WMO), na
Taasisi za Hali ya Hewa za nchi wanachama wa EAC. Mkutano huu unafanyika Jijini Arusha kuanzia
tarehe 13 hadi 14 Agosti 2018.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.
Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...
-
Mbeya; Tarehe 07 Agosti, 2023; Waziri Mkuu Mtaafu wa Awamu ya nne, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda ametembelea banda la Mamlaka ya Hali ya ...
-
Morogoro 07/08/2023; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema huduma za hali ya hewa...
-
Geneva, Uswisi: Tarehe 22/11/2023 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kati...
Ok
ReplyDelete