Friday, June 1, 2018

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: WATAALAM WA HALI YA HEWA WASHIRIKI KATIKA KUTOA ELIMU YA HALI YA HEWA KWENYE MAONESHO YANAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Mtaalam kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Bi. Tunsume Mwamboneke akitoa elimu kuhusiana na huduma za hali ya hewa na mazingira kwenye maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2018 yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia tarehe 31 Mei mpaka 5 Juni 2018



Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na taasisi zake katika picha ya pamoja kwenye maonyesho ya wiki ya mazingira, viwanja vya Mnazi mmoja Dar es salaam, 31Mei - 05Juni2018

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...