Monday, September 4, 2017

TMA YATOA UTABIRI WA MSIMU WA OKTOBA – DISEMBA 2017 (VULI) KWA TANZANIA

Ramani ya utabiri wa msimu wa VULI 2017 kaika lugha ya kiswahiliiliyotolewa rasmi kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017
Dkt. Agnes Kijazi akitoa utabiri wa msimu wa Oktoba-Desemba 2017 (VULI) kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017
Wanahabari na baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika utulivu kusikiliza utabiri wa msimu wa VULI 2017 katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017

Ramani ya utabiri wa msimu wa VULI 2017 kaika lugha ya kingereza iliyotolewa rasmi kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa TMA, Ubungo Plaza tarehe 04 Septemba 2017