Saturday, August 5, 2017

TMA NA MKAKATI WA KUELEMISHA TAIFA LA KESHO LA VIJANA KWENYE MAONESHO YA NANENANE 2017 YANAYOENDELEA MKOANI LINDI

Wanafunzi wa Sekondari ya Ngongo wakijifunza katika Banda la TMA, kwenye maonesho ya NaneNane 2017, Lindi
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya wasichana ya Mtwara waliofanya vizuri katika mtihani(quiz) iliyofanyika baada ya kipindi cha elimu ya sayansi ya hali ya hewa hususan namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyangao iliyopo Lindi wakiendelea na kipindi wakati walipotembelewa na wataalamu kutoka TMA
Mkurugenzi wa utafiti na matumizi, Dkt. Ladislaus Chang'a akifundisha wanafunzi wa shule ya sekondari Nyangao, Lindi
Mwanafunzi wa Nyangao akinyoosha mkono ili kujibu swali
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mtwara wakisikiliza kwa makini umuhimu wa kuzingatia masomo na nidhani kwa watoto wa kike
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mtwara wakisikiliza kwa makini
Wanafunzi wa Nyangao wakisikiliza kwa makini
Kipindi kikiendelea

No comments:

Post a Comment