Thursday, August 24, 2017

MATUKIO YA GHACOF 47 KATIKA PICHA ILIYOFANYIKA ZANZIBAR TAREHE 21-22 AGOSTI 2017

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa akihutubia washiriki wa mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Mhe. MwinyiUssi Abdallah Hassan akitoa neno la shukrani  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkurugenzi wa ICPAC  Dkt. Gulied Artan akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mwakilishi wa USAID Bw. Brat Arsenault akizungumza  kwenye  mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Baadhi ya washiki kutoka nchi mbalimbali
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa GHACOF 47 katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.

No comments:

Post a Comment